Nyoka aina ya chatu akutwa ndani kwa tajiri mmoja huko arusha

Chatu mkubwa akutwa katika
nyumba ya mfanyabishara mkubwa wa jiji
la Arusha mengi yaibuka
akielezea tukio halisi mmoja wa mtoto wa
mwenye nyumba hiyo ambaye jina lake
alijafahamika alidai kuwa yeye na mfanya
kazi walikuwa  sebuleni
ndipo wakasikia kitu kinagonga katika moja
ya chumba ambacho walishapigwa

marufuku kukifungua
aliasema kuwa wakati kinaendelea kugonga
ndipo walipoamua kwenda kufungu chumba
hicho wakiwa na mfanya kazi ili waone
nini kinachogonga
mara tu baada ya kufungua chumba kile
walisema walikutana  na chatu
huyo ndipo walipoamua kukimbia na
kupiga kelele
kutokana na shutuma hizi za kudaiwa chatu
huyu alikuwa anafugwa na mfanyabiashara
huyo. Mwandishi wa habari hii alijaribu kuwatafuta wanafamilia hao lakini jitihada zake hazikuzaa matunda kwani simu zao zilikuwa hazupatikani.
taswira halisi ya eneo la tukio imeonekana
watu wengi kutoka katika sehemu
mbalimbali wakienda kushuhudia kama
tukio hilo ni lakweli na wengine walienda
kuangalia  mabaki ya nyoka uyo aina ya
chatu